NEW MUSICTANZANIAVIDEOS

[Music + Video] Essence Of Worship – Mungu Mkuu

97views

essence of worship

Essence Of Worship recently released new song titled “Mungu Mkuu” now available below to all digital platforms.

Isaya 43:3
Maana mimi ni BWANA, Mungu wako; Mtakatifu wa Israeli, mwokozi wako, nimetoa Misri kuwa ukombozi wako; nimetoa Kushi na Seba kwa ajili yako. For I am the LORD thy God, the Holy One of Israel, thy Saviour: I gave Egypt for thy ransom, Ethiopia and Seba for thee.
Isaya 43:4
Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako. Since thou wast precious in my sight, thou hast been honourable, and I have loved thee: therefore will I give men for thee, and people for thy life.
Isaya 43:5
Usiogope; maana mimi ni pamoja nawe; nitaleta wazao wako toka mashariki, nitakukusanya toka magharibi; Fear not: for I am with thee: I will bring thy seed from the east, and gather thee from the west;

Click here to display content from YouTube.
Learn more in YouTube’s privacy policy.

DOWNLOAD MUSIC

Leave a Response