
206views

“Msiyakumbuke mambo ya kwanza, wala msiyatafakari mambo ya zamani. Tazama, nitatenda neno jipya; sasa litachipuka; je! Hamtalijua sasa? Nitafanya njia hata jangwani, na mito ya maji nyikani.”
Isa 43:18-19
Utaishi! Hutakufa! Utaishi kusimulia wema wake Mungu juu ya maisha yako. Amini hilo na utabirie mifupa yote iliyokauka maishani mwako iwe hai tena! Nakutabiria katika jina la Yesu, ISHI.
DOWNLOAD MUSIC
add a comment



